Weather (state,county)


Breaking News

Mfahamu Mwizi Na tapeli aliyeitikisa Dunia kwa Wizi wenye Akili Ya Juu Kisha Baadae Kuhajiliwa FBI

 


Frank W.A: Mhalifu tapeli mwenye akili aliyesumbua dunia na mwishowe kuja kuajiriwa na FBI Si makusudi yangu kusifia Uhalifu lakini katika Ulimwengu huu kuna akili za ziada au vipaji ambavyo watu wanavyo sema tu matumizi yake ndo huwa yanakuwa ya kihalifu. leo hii tunamzungumzia Frank Williams Abagnale Jr ambaye baadaye FBI ilibidi wamwajiri baada ya kumkamata na kustaajabishwa na uwezo aliokuwa nao

                                 PLAY VIDEO FULL STORY 

No comments