Mfahamu Mwizi Na tapeli aliyeitikisa Dunia kwa Wizi wenye Akili Ya Juu Kisha Baadae Kuhajiliwa FBI
Frank W.A: Mhalifu tapeli mwenye akili aliyesumbua dunia na mwishowe kuja kuajiriwa na FBI
Si makusudi yangu kusifia Uhalifu lakini katika Ulimwengu huu kuna akili za ziada au vipaji ambavyo watu wanavyo sema tu matumizi yake ndo huwa yanakuwa ya kihalifu. leo hii tunamzungumzia Frank Williams Abagnale Jr ambaye baadaye FBI ilibidi wamwajiri baada ya kumkamata na kustaajabishwa na uwezo aliokuwa nao
PLAY VIDEO FULL STORY
No comments